Episode 2- Karibu kwenye ibada

Feb 8, 2024    Pastor Trice

One of our family members, Pastor Trice, who shares his story of how is calling to do the work of God while living in a refugee camp in Africa to now leading a Swahili speaking service here at Melrose Baptist.


Mmoja wa wanafamilia wetu, Mchungaji Trice, anashiriki hadithi yake jinsi wito wake wa kufanya kazi ya Mungu ulivyomtokea alipokuwa anaishi katika kambi ya wakimbizi barani Afrika hadi sasa anapoongoza ibada ya Kiswahili hapa katika Kanisa la Melrose Baptist.